Pages

Thursday, November 8, 2012

SINTAH KUMRITHI AMINA CHIFUPA BUNGENI?

                 Sinta aka J.lo wa Bongo  baada ya kufanya vizuri katika tasnia ya filamu nchini, pia katika uandishi (blogging and tv personality) sintah has hundreds of fans all around na sasa
  story tulioipata kutoka  ni kwamba soon anatarajia kugombea ubunge na chanzo chetu kinasema  sababu alizotoa in kwamba; kutokana na baadhi ya wabunge ambao wapo kule bungeni hawatetei haki za wananchi kwahiyo yeye anahitaji nafasi ili akaonyesha ujasiri wake wa kuwatetea wananchi wake, especially vijana!!!.
     well, maybe anatizamia kufata nyayo za amina chifupa bungeni, mara nyingi amekuwa akisema Amina was her bestfriend and she will always admire her kwa kazi kubwa aliyofanya katika jamii, kuwa mpiganaji haswa. bado tunasubiri her say on this but so far, we wish her all the best.

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About