Wednesday, November 28, 2012
KALA JEREMIAH SOON KUFANYA REMIX YA DEAR GOD
Msanii Kala Jeremiah baada ya kutoka na ngoma yake inayokwenda kwa jina la Dear God ,sasa leo alichonga na E-BIZZ 255 na akaamua kufunguka kwamba kutokana na comment nyingi sana kutoka kwa wadau wake kupitia katika ukurasa wake wa Facebook ameamua kujipanga tena kwa ajili ya kujiandaa na remix ya ngoma yake inayokwenda kwa jina la Dear God kwani,alieleza kwamba amekuta watu wengi sana wakizungumzia ngoma yake mpya na kumpa hongera.Kwa hiyo wale wadau wake mkae kwa ujio mpya wa remix ya Dear God.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment