Pages

Monday, November 12, 2012

A.Y AFANYA UPYA NGOMA ALIYOMSHRIKISHA SEAN KINGSTONE

Msanii bongo wa fleva almaaruf A.Y ni moja ya wasanii wanaofanya vizuri kwenye game la muziki na kuiwakilisha Tzee vilivyo kwenye anga za kimataifa kupitia Muziki wake.

Latest infoz
kutoka  AY ni kuwa ameamua kurudia ngoma aliofanya na Sean Kingstone kwa mara ya kwanza baada ya Kingstone kutoikubali ngoma hiyo.
Ngoma hiyo ambayo AY ameairudia inaitwa "Touch me touch" huku mzigo mzima ukisimamiwa na Super Producer P-Funk Majani ndani ya Bongo Records.

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About