Pages

Wednesday, November 28, 2012

LINEX SOON KUINGIA KATIKA UANDISHI WA BONGO MOVIE

Msanii wa Bongo Fleva Sunday Mjeda almaarufu kama Linex hapa nchini baada ya kutmba na ngoma zake kali kama Ifola,Boda Boda, na nyinginezo kali mpaka kupelekea mashabiki kumkubali katika tasnia hii ya muziki
Latest info kutoka kwa msanii huyu baada ya kuchonga na E-255 aliweza kufunguka na kusema kwamba anatarajia kuingia katika uandishi wa Bongo Movie kwani alieleza kwamba japokuwa anaimba lakini pia anakipaji cha kuandika story.Kwa hiyo mashabiki wa msanii huyu kaeni tayari.

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About