Miss Ilala ya mwaka huu kwa mara ya kwanza katika historia inaandaliwa na Gadner G Habash.. washiriki kutoka vitongoji vya Dar City Centre, Tabata, Ukonga na Mzizima wamekuwa wakifanya mazoezi katika restaurant ya Nyumbani Lounge na leo usiku wataingia katika hatua nyingine ya Kumtafuta Miss Ilala Talent itakayofanyika hapohapo Nyumbani Lounge kuanzia saa mbili usiku
washiriki wakiwa katika opening dance rehearsal na mwalimu wao wa dance
talent competition rehearsal
some of the contestants
contestants with their matron, Sylvia Mashuda Miss Ilala 2008
Me and Sylvia, xoxo my girl
0 comments:
Post a Comment