Round hii wamekuja na ngoma mpya waliomshirikisha kali toka Wanaume Halisi, Juma Kassim Nature. Ngoma hiyo inakwenda kwa jina la “Bondi” huku versre ya kwanza akiwa amesimaa Ordinally, ya pili ni Chalii mtoto wa Bibi na kwenye hook ni mtu mzima Juma Nature.
Ngoma hiyo imetengenezwa na producer John B alias John Blass toka studio za Grandmaster Records pande za A-Town City soon inatarajia kutoka.
0 comments:
Post a Comment