Ommy Dimpoz baada ya kufanya vizuri na ngoma zake mbili “Nai Nai” na “Baadae” kupelekea kupata mafanikio mengi kupitia muziki wake.
Msanii huyu ameanza kuona matunda ya muziki wake baada ya kupata shavu la kufanya Tour chini Marekani na Canada.
Mkurugenzi mtendaji wa wa Kampuni ya DMK GLOBAL PROMOTION & NORTHERN ZONE ENTERTAINMENT yenye matawi yake USA, UK na Tzee, Mr Dickson Mkama alias “DMK” amethibitisha habari zilizokuwa zinavuma hivi karibuni kuhusu kusaini mkataba na msanii Ommy Dimpoz kwa ajili ya Tour za kimziki ndani ya nchini ya Marekani na Canada. I wish him all the best katika tour yake anayotarajia kwenda kupiga show nchini Marekani na Canada. I love baadae.. its definitely on my playlist
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment