Matunda ya Bongo star search yameshaanza kuonekana immediately baada ya kumalizika kwa shindano hilo, ambapo Ben Pol ambaye anatamba na ngoma kadhaa kali kama Nikikupata,Samboira,Pete, na ngoma zingine kali alizopewa collabo sasa amevutiwa sana na Walter Chilambo mshindi wa EBSS.
Latest info kutoka kwa msani huyu ni kwamba baada ya mshiriki wa Epiq bongo Star search ku perfom vizuri ngoma yake ambayo inafahamika kwa jina la Nikikupata ndipo Ben pol aliamua kwenda kumpa saluti halafu baadaye akasema kwamba atafanya naye collabo katika ngoma zake zinazokuja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment