Pages

Wednesday, November 28, 2012

CHECK OUT:COVER MPYA YA MABESTE"DOLE"

Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Mabeste baada ya kutamba na ngoma zake hapa Tzee kama Baadaye sana ,Sirudi Tena na ngoma nyingine kali alizopewa collabo na wasanii wa hapa Tzee sasa
Latest info kutoka kwa Mabeste kama unakumbuka siku za hivi karibuni alifunguka na kusema anatarajia kuachia ngoma nyingine mpya baada ya Sirudi Tena sasa leo amenitumia cover ya hiyo ngoma yake mpya ambayo inakwenda kwa jina la "DOLE"

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About