Pages

Monday, November 12, 2012

SHILOLE SOON KWENDA DUBAI KUPIGA SHOW

Tulimjua kupitia Bongo movies but then na yeye akaamua kuwa mwanamuziki, which helped her step into fame and recognition zaidi ya mwanzo.
Shilole baada ya kutamba na ngoma zake kadhaa kama Lawama, Dudu, dume dada hapa tzee sasa I currently spoke to her  na akaniamba soon enough anatarajia kwenda  Dubai kwa ajili ya kupiga show na siku ambayo anatarajia kwenda huko itakuwa ni siku ya tarehe 20 mwezi 12. 

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About