Pages

Wednesday, November 28, 2012

HUSSEIN MACHOZI KUINGIA KATIKA TASNIA YA BONGO MOVIES


Msanii mahiri wa Bongo Fleva almaarufu kama Hussein Machozi baada ya kutamba na ngoma zake kali kama Addicted,Mizimu,Kwa ajili yako na ngoma zingine kali sasa
 Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba jana aliweza kuchonga na E-BIZZ 255 akaamua kufunguka na kusema kwamba anatarajia kuachia movie zake alizoziandaa kwa ajili ya mashabiki wake lakini ,baada ya hapo aliweza kutoa sababu na kusema kwamba game la muziki alitoi mkwanja wa kutosha na ndiyo maana akaamua kuingia katika tasnia ya bongo Movie na movie ambayo ameifanya hivi sasa soon kutoka inakwenda kwa jina la kafia Ghetto.Baada ya kumaliza kusema hivyo pia alitoa kauli yake ya mwisho na kusema sio kama Music ameacha ataendelea kama kawa.@info by Hussein Machozi

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About