Tuesday, December 11, 2012
LAMAR AJA NA UJIO MPYA WA KUNDI LAKE "MASHOSTIZI"
Producer kutoka katika Label ya Fishcrab Audio Station
maarufu kama Lamar, siku zilizopita baada ya kutangaza katika vyombo
mbalimbali vya habari kwamba anatafuta wasichana ambao wenye uwezo wa
kuimba ili aweze kufanya nao kazi katika studio yake,hatimaye amefanikio
kupata wasichana watatu ambao ni Nuru,Salma na Menyinah.Katika
mazungumzo lamar alisema kwamba kwasasa kundi hilo limeshamaliza
kutengeneza ngoma yao mpya ila wapo katika mchakato wa kuandaa video yao
mpya chini ya Director Adamu juma.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment