Pages

Thursday, December 20, 2012

TUESDAY KIHANGA KUTOKA NA TAMTHILIA MPYA MWAKANI

Muongozaji na muingizaji wa filamu za hapa nchini maarufu kama Tuesday Kihanga a.k.a Mr Chuzi mwaka amejipanga upya na anatarajia kutoka na filamu mpya inayokwenda kwa jina la High Heels.Katika filamu imehusisha wasanii mbalimbali mastaa kama Kojack, Jini Kabula,Badi,Kishoka na Rayuu bila kusahau wengineo wazuri.Kwa hiyo kama wewe ni shabiki wa filamu kaa tayari kwa ujio mpya wa filamu hiyo.

UJUMBE KUTOA KWA SUGU KUHUSU HOSPITAL YA RUFAA MKOANI MBEYA HUU HAPA

Msanii mkongwe wa Hip-Hop maarufu kama Sugu hapa nchini baada ya kutamba na baadhi ya ngoma zake kama Mchaka Mchaka, Hayakuwa Mapenzi, Sugu na Hakuna Matata, Mr. II ambae pia ni anafahamika kama Mheshimiwa Joseph Mbilinyi leo kupitia katika ukurasa wake wa facebook inaonyesha kwamba amekerwa na tabia za madaktari wa mkoa wa Mbeya kwa kujali sana rushwa kuliko utu wa watu.
        Sugu ameonesha kukerwa huko pale alipoandika kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema kuwa madaktari wa Mbeya, katika hospitali ya rufaa wamekuwa wakiwaweka wagonjwa POP kwa kiasi cha gharama ya Tshs. 300,000/= hadi laki Tshs. 500, 000/= na kuonesha kuwa amechoshwa na kitendo hicho.
Soma alichoandika hapo chini:

REHMTULLAH ATAJA WEBSITE INAYOTUMIA JINA LAKE KATIKA KUTAPELI MA MODELING

Mbunifu wa hapa Tanzania maarufu kama Ally Rehmtullah leo kupitia katika ukurasa wake wa facebook aliweza kufunguka na kuweka mtandao ambao unapenda mara nyingi kutumia jina lake katika kutapeli ma modeling wa hapa Tanzania.
http://www.modelscooperation.wapka.mobi/index.html

Q CHILLAH AMEKIRI KUWA ALIKUWA ANATUMIA MADAWA YA KULEVYA ASEMA "I 'M RESPONSIBLE FOR MY FAILURE"

Muimbaji Abubakar Katwila a.k.a Q Chillah amekiri kuwa alikuwa mtumiaji wa madawa ya kulevya takribani miaka miwili iliyopita lakini kwasasa ameachana nayo na ana miezi saba toka aache.sisi kama member wa E-BIZZ 255 tunakupa big up broo kwa uamuzi wako.

BARNABA,SUMA LEE,BABU TALE WAMEWASILI LONDON

Suma Lee,Babu Tale na Barnaba baada ya kuwasili London kwa ajili ya kupiga show yao ambayo inatarajia kufanyika siku ya tarehe 22 mwezi huu huko london,sasa waliweza kukaribishwa katika ofisi za BBC Swahili kwa ajili ya interview na mtangazaji Charles Hillary huko London.

UJUMBE KUTOKA FLAVIANA MATATA FOUNDATION

   Flaviana Matata Kupitia FMF maarufu kama Flaviana Matata Foundation inawatakia watu wote heri ya Christmas na Mwaka Mpya 2013 na mapumziko mema katika kipindi hiki cha mapumziko na likizo fupi.

Wednesday, December 12, 2012

NO NAME GROUP KUACHIA NGOMA YAO MPYA"HAND UP"

No name The Group ni kundi jipya ambalo limehusisha ma producer wakali ambao walifanya vizuri katika sanaa ya muziki hapa Tanzania na bado wanaendelea kufanya vizuri ambao ni Dunga,P Funk,Karabani,Lamar na John Mahundi,sasa basi leo  wameachia rasmi ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la Hands Up katika vituo mbalimbali.

MISS TANZANIA 2012 BRIGITTE ALFRED AKABIDHIWA RASMI NOAH

 Brigitte Alfred,Redds Miss Tanzania 2012 akabidhiwa zawadi ya gari yake rasmi na katibu mkuu wa kamati ya Miss Tanzania Bw.Bosco Majaliwa katika ofisi ya Lino International Agency Limited zilizopo mikocheni jijini Dar es Salaam.



FLAVIAN MATATA ASHINDA TUZO YA FACE OF AFRICA

Mwanamitindo kutoka hapa Tanzania maarufu kama Flavia Matata, siku ya jumamosi iliyopita ameweza kuibuka kuwa mshindi wa tuzo za Face of Africa.Mashindano ya tuzo hizo yalifanyika katika mji wa New York Nchini Marekani.Tuzo hizo utolewa kwa kuwapongeza wa Africa ambao hufanya vizuri katika kazi zao.

CHEGGE SOON KUANZA KUINGIZA MOVIE YA MWANAYUMBA

Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Chegge Chigunda anayekubalia hapa Tzee mpaka East Africa kwa ngoma zake kali kama Mwanayumba,Kinomanoma,Mikanda,Mkono mmoja na ngoma nyingine kali sasa
Latest Info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba aliamua kuweka wazi kwamba kwa sasa japokuwa  wameshatoka ngoma yao mpya ya kundi inayokwenda kwa jina la Tutaonekanaje na wameshaitoa katika vituo mbalimbali sasa habari nzuri nyingine kutoka katika kundi ili ni kwamba wamepanga mikakati ya kufanya movie yao mpya inayokwenda kwa jina la Mwanayumba.Kwa hiyo wale mashabiki wa Tmk Wanaume Family dzain kama inawahusu hii.

JANA RAY-C-AMTEMBELEA-RAIS-KIKWETE-KUMSHUKURU-KWA-MSAADA

Mwanamuziki wa Bongo Fleva maarufu kama Ray C siku ya leo amemtembelea Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam na kumshukuru kwa msaada wa matibabu kipindi alipokuwa mgonjwa.

Tuesday, December 11, 2012

BHOKE ATEULIWA KUWA BALOZI WA TAASIAI YA KUPAMBA NA FUNZA ZA MIGUUNI

mwakilishi wa Tanzania katika shindano la Big Brother Africa, 2011, Bhoke Egina ameteuliwa kuwa balozi mpya wa Tanzania wa taasisi ya Ahadi Trust Tanzania.


Mshindi wa BBA 2007, Richard, Bhoke Egina na Cecilia Mwangi wa Ahadi Kenya wakimhudumia mtoto aliyeathirika na funza...................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

LAMAR AJA NA UJIO MPYA WA KUNDI LAKE "MASHOSTIZI"

Producer kutoka katika Label ya Fishcrab Audio Station maarufu kama Lamar, siku zilizopita baada ya kutangaza katika vyombo mbalimbali vya habari kwamba anatafuta wasichana ambao wenye uwezo wa kuimba ili aweze kufanya nao kazi katika studio yake,hatimaye amefanikio kupata wasichana watatu ambao ni Nuru,Salma na Menyinah.Katika mazungumzo lamar alisema kwamba kwasasa kundi hilo limeshamaliza kutengeneza ngoma yao mpya ila wapo katika mchakato wa kuandaa video yao mpya chini ya Director Adamu juma.

Wednesday, November 28, 2012

KALA JEREMIAH SOON KUFANYA REMIX YA DEAR GOD

Msanii Kala Jeremiah baada ya kutoka na ngoma yake inayokwenda kwa jina la Dear God ,sasa leo alichonga na E-BIZZ 255 na akaamua kufunguka kwamba kutokana na comment nyingi sana kutoka kwa wadau wake kupitia katika ukurasa wake wa Facebook ameamua kujipanga tena kwa ajili ya kujiandaa na remix ya ngoma yake inayokwenda kwa jina la Dear God kwani,alieleza kwamba amekuta watu wengi sana wakizungumzia ngoma yake mpya na kumpa hongera.Kwa hiyo wale wadau wake mkae kwa ujio mpya wa remix ya Dear God.

CHECK OUT:COVER MPYA YA MABESTE"DOLE"

Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Mabeste baada ya kutamba na ngoma zake hapa Tzee kama Baadaye sana ,Sirudi Tena na ngoma nyingine kali alizopewa collabo na wasanii wa hapa Tzee sasa
Latest info kutoka kwa Mabeste kama unakumbuka siku za hivi karibuni alifunguka na kusema anatarajia kuachia ngoma nyingine mpya baada ya Sirudi Tena sasa leo amenitumia cover ya hiyo ngoma yake mpya ambayo inakwenda kwa jina la "DOLE"

POLE ZAMARADI KWA KUFIKA NA MAMA MZAZI

Mtangazaji wa Clouds Fm na Clouds Tv (take one ) Zamaradi Mketema, leo hii amefiwa na mama yake mzazi aliekuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kansa kwa muda mrefu.Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema pepono. AMEN

R.I.P SHARO MILIONEA

                      Tutakukumbuka kwa ucheshi wako daima na milele rest in peace broo!!!

HUSSEIN MACHOZI KUINGIA KATIKA TASNIA YA BONGO MOVIES


Msanii mahiri wa Bongo Fleva almaarufu kama Hussein Machozi baada ya kutamba na ngoma zake kali kama Addicted,Mizimu,Kwa ajili yako na ngoma zingine kali sasa
 Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba jana aliweza kuchonga na E-BIZZ 255 akaamua kufunguka na kusema kwamba anatarajia kuachia movie zake alizoziandaa kwa ajili ya mashabiki wake lakini ,baada ya hapo aliweza kutoa sababu na kusema kwamba game la muziki alitoi mkwanja wa kutosha na ndiyo maana akaamua kuingia katika tasnia ya bongo Movie na movie ambayo ameifanya hivi sasa soon kutoka inakwenda kwa jina la kafia Ghetto.Baada ya kumaliza kusema hivyo pia alitoa kauli yake ya mwisho na kusema sio kama Music ameacha ataendelea kama kawa.@info by Hussein Machozi

CHECK OUT: WATU WALIJITOKEZA LEO KUMZIKA SHARO MILIONEA HUKO TANGA

                                                                         Roma
                                                            Wasanii wa Bongo Movie
                                                                      Tunda Man
                                                              Shetta&Nay wa mitengo
                                Wasanii wakisali baada ya kumzika Marehemu Sharo Milionea
                                                         Mzee Majuto na Mzee Chilo

                                                                             Wakisali


                                                             Mama Mzazi wa Marehemu

LINEX SOON KUINGIA KATIKA UANDISHI WA BONGO MOVIE

Msanii wa Bongo Fleva Sunday Mjeda almaarufu kama Linex hapa nchini baada ya kutmba na ngoma zake kali kama Ifola,Boda Boda, na nyinginezo kali mpaka kupelekea mashabiki kumkubali katika tasnia hii ya muziki
Latest info kutoka kwa msanii huyu baada ya kuchonga na E-255 aliweza kufunguka na kusema kwamba anatarajia kuingia katika uandishi wa Bongo Movie kwani alieleza kwamba japokuwa anaimba lakini pia anakipaji cha kuandika story.Kwa hiyo mashabiki wa msanii huyu kaeni tayari.

WASANII WAKIFANYA NGOMA MPYA STUDIONI KWA AJILI YA KUMUENZI SHARO MILIONEA

               

Wednesday, November 14, 2012

BUI BUI IS BACK KWENYE GAME

Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, muimbaji aliyewahi kutamba nchini, Buibui amerejea tena akiwa chini ya uongozi mpya wa Tanzania Music Power, TMP.
 Latest info ni kwamba TMP ambayo ni jumuia mpya ya mapinduzi iliyoingia rasmi katika kuokoa kizazi cha muziki wa Bongo Fleva Tanzania imeingia makubaliano na msanii huyo ambaye jina lake ni Frank Lewis Katende Kivunike.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari TMP imesema imeingia makubaliano na Buibui baada ya kukiona kipaji chake na juhudi zake katika kufanya kazi ya muziki wa kizazi kipya.Kwa hiyo  wale mashabiki wake wakae mkao wa kumpokea upya katika tasnia hii ya Bongo Flevaa!!!!!!!!!!!!!!!!

NATAKA KUIMBA NA WALTER- BEN POL

Matunda ya Bongo star search yameshaanza kuonekana immediately baada ya kumalizika kwa shindano hilo,  ambapo Ben Pol ambaye anatamba na ngoma kadhaa kali kama Nikikupata,Samboira,Pete, na ngoma zingine kali alizopewa collabo sasa amevutiwa sana na Walter Chilambo mshindi wa EBSS.
Latest info kutoka kwa msani huyu ni kwamba baada ya mshiriki wa Epiq bongo Star search ku perfom  vizuri ngoma  yake ambayo inafahamika kwa jina la Nikikupata ndipo Ben pol aliamua kwenda kumpa saluti halafu baadaye akasema kwamba atafanya naye collabo katika ngoma zake zinazokuja.

Monday, November 12, 2012

JUMA NATURE KUFANYA COLLABO NA JAMBO SQUAD


 Wasanii wa kundi la Jambo Squad maarufu kama Mamong”oo manjeree ya ara toka A-Town City wamerudi na ujio mpya kabisa kwenye game.
Round hii wamekuja na ngoma mpya waliomshirikisha kali toka Wanaume Halisi, Juma Kassim Nature. Ngoma hiyo inakwenda kwa jina la “Bondi” huku versre ya kwanza akiwa amesimaa Ordinally, ya pili ni Chalii mtoto wa Bibi na kwenye hook ni mtu mzima Juma Nature.
Ngoma hiyo imetengenezwa na producer  John B alias John Blass toka studio za Grandmaster Records pande za A-Town City soon inatarajia kutoka.

SHETTA SOON KUACHIA NGOMA YA KUFUNGA MWAKA TAREHE 25

Msanii kutoka pande za Ilala anayetamba na hits kama “Mdananda” na “Nidanganye” along side Diamond Platnumz, Nurdin Bilal Ally alias Shetta sasa yupo mbioni kuja na ujio wake mpya baada ya kutamba na ngoma zake hizo sasa
Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba aliweza kufunguka leo na kusamba kwamba anatarajia kuachia ngoma yake yaambayo amemshirikisha mwana dada kutoka THT almaarufu kwa jina la Linah.baada ya kusema hayo pia alimalizia kwa kusema kwamba ataizindua siku ya tarehe 25 katika club ya Maisha.

SHILOLE SOON KWENDA DUBAI KUPIGA SHOW

Tulimjua kupitia Bongo movies but then na yeye akaamua kuwa mwanamuziki, which helped her step into fame and recognition zaidi ya mwanzo.
Shilole baada ya kutamba na ngoma zake kadhaa kama Lawama, Dudu, dume dada hapa tzee sasa I currently spoke to her  na akaniamba soon enough anatarajia kwenda  Dubai kwa ajili ya kupiga show na siku ambayo anatarajia kwenda huko itakuwa ni siku ya tarehe 20 mwezi 12. 

OMMY DIMPOZ APATA DEAL LA TOUR NCHINI MAREKANI NA CANADA

Ommy Dimpoz baada ya kufanya vizuri na ngoma zake mbili “Nai Nai” na “Baadae” kupelekea kupata mafanikio mengi kupitia muziki wake.
Msanii huyu ameanza kuona matunda ya muziki wake baada ya kupata shavu la kufanya Tour chini Marekani na Canada.
Mkurugenzi mtendaji wa wa Kampuni ya DMK GLOBAL PROMOTION & NORTHERN ZONE ENTERTAINMENT yenye matawi yake USA, UK na Tzee, Mr Dickson Mkama alias “DMK” amethibitisha habari zilizokuwa zinavuma hivi karibuni kuhusu kusaini mkataba na msanii Ommy Dimpoz kwa ajili ya Tour za kimziki ndani ya nchini ya Marekani na Canada. I wish him all the best katika tour yake anayotarajia kwenda kupiga show nchini Marekani na Canada. I love baadae.. its definitely on my playlist

A.Y AFANYA UPYA NGOMA ALIYOMSHRIKISHA SEAN KINGSTONE

Msanii bongo wa fleva almaaruf A.Y ni moja ya wasanii wanaofanya vizuri kwenye game la muziki na kuiwakilisha Tzee vilivyo kwenye anga za kimataifa kupitia Muziki wake.

Latest infoz
kutoka  AY ni kuwa ameamua kurudia ngoma aliofanya na Sean Kingstone kwa mara ya kwanza baada ya Kingstone kutoikubali ngoma hiyo.
Ngoma hiyo ambayo AY ameairudia inaitwa "Touch me touch" huku mzigo mzima ukisimamiwa na Super Producer P-Funk Majani ndani ya Bongo Records.

Thursday, November 8, 2012

KISIMA AWARDS 2012...AND THE WINNERS ARE....!!














Best Boomba Artist

*Kitu Kimoja – Avril



Best Urban Song
*Party Don’t Stop – CampMulla




Best Fusion Artiste
*Coming Home – Nameless



Gospel Artiste of the Year
*Daddy Owen ft. Denno – Mbona




Best Ragga/Reggae
*Guarantee – Wyre




Music Video of the Year
*Nonini - Colour Kwa face




Best Hip Hop Artist
*Colour Kwa Face – Nonini













Collabo of the Year
*Gentleman – P Unit ft Sauti Sol





East African Recognition Award
*Chameleone - Valu Valu (UG)





Best Benga Song
*Kanungo Eteko - Otieno Aloka





Lifetime Achievement Award
*Nameless





Artist of the Year
*Daddy Owen (Kshs. 2 million cash prize)
 

Blogger news

Blogroll

About