No name The Group ni kundi jipya ambalo limehusisha ma producer wakali ambao walifanya vizuri katika sanaa ya muziki hapa Tanzania na bado wanaendelea kufanya vizuri ambao ni Dunga,P Funk,Karabani,Lamar na John Mahundi,sasa basi leo wameachia rasmi ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la Hands Up katika vituo mbalimbali.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment