Wednesday, November 28, 2012
KALA JEREMIAH SOON KUFANYA REMIX YA DEAR GOD
Msanii Kala Jeremiah baada ya kutoka na ngoma yake inayokwenda kwa jina la Dear God ,sasa leo alichonga na E-BIZZ 255 na akaamua kufunguka kwamba kutokana na comment nyingi sana kutoka kwa wadau wake kupitia katika ukurasa wake wa Facebook ameamua kujipanga tena kwa ajili ya kujiandaa na remix ya ngoma yake inayokwenda kwa jina la Dear God kwani,alieleza kwamba amekuta watu wengi sana wakizungumzia ngoma yake mpya na kumpa hongera.Kwa hiyo wale wadau wake mkae kwa ujio mpya wa remix ya Dear God.
CHECK OUT:COVER MPYA YA MABESTE"DOLE"
Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Mabeste baada ya kutamba na ngoma zake hapa Tzee kama Baadaye sana ,Sirudi Tena na ngoma nyingine kali alizopewa collabo na wasanii wa hapa Tzee sasa
Latest info kutoka kwa Mabeste kama unakumbuka siku za hivi karibuni alifunguka na kusema anatarajia kuachia ngoma nyingine mpya baada ya Sirudi Tena sasa leo amenitumia cover ya hiyo ngoma yake mpya ambayo inakwenda kwa jina la "DOLE"

POLE ZAMARADI KWA KUFIKA NA MAMA MZAZI
Mtangazaji wa Clouds Fm na Clouds Tv (take one ) Zamaradi Mketema, leo
hii amefiwa na mama yake mzazi aliekuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kansa
kwa muda mrefu.Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema pepono. AMEN
HUSSEIN MACHOZI KUINGIA KATIKA TASNIA YA BONGO MOVIES
Msanii mahiri wa Bongo Fleva almaarufu kama Hussein Machozi baada ya kutamba na ngoma zake kali kama Addicted,Mizimu,Kwa ajili yako na ngoma zingine kali sasa
Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba jana aliweza kuchonga na E-BIZZ 255 akaamua kufunguka na kusema kwamba anatarajia kuachia movie zake alizoziandaa kwa ajili ya mashabiki wake lakini ,baada ya hapo aliweza kutoa sababu na kusema kwamba game la muziki alitoi mkwanja wa kutosha na ndiyo maana akaamua kuingia katika tasnia ya bongo Movie na movie ambayo ameifanya hivi sasa soon kutoka inakwenda kwa jina la kafia Ghetto.Baada ya kumaliza kusema hivyo pia alitoa kauli yake ya mwisho na kusema sio kama Music ameacha ataendelea kama kawa.@info by Hussein Machozi
CHECK OUT: WATU WALIJITOKEZA LEO KUMZIKA SHARO MILIONEA HUKO TANGA
Roma
Wasanii wa Bongo Movie
Tunda Man
Shetta&Nay wa mitengo
Wasanii wakisali baada ya kumzika Marehemu Sharo Milionea
Mzee Majuto na Mzee Chilo
Wakisali
Mama Mzazi wa Marehemu
Wasanii wa Bongo Movie
Tunda Man
Shetta&Nay wa mitengo
Wasanii wakisali baada ya kumzika Marehemu Sharo Milionea
Mzee Majuto na Mzee Chilo
Wakisali
Mama Mzazi wa Marehemu
LINEX SOON KUINGIA KATIKA UANDISHI WA BONGO MOVIE
Msanii wa Bongo Fleva Sunday Mjeda almaarufu kama Linex hapa nchini baada ya kutmba na ngoma zake kali kama Ifola,Boda Boda, na nyinginezo kali mpaka kupelekea mashabiki kumkubali katika tasnia hii ya muziki
Latest info kutoka kwa msanii huyu baada ya kuchonga na E-255 aliweza kufunguka na kusema kwamba anatarajia kuingia katika uandishi wa Bongo Movie kwani alieleza kwamba japokuwa anaimba lakini pia anakipaji cha kuandika story.Kwa hiyo mashabiki wa msanii huyu kaeni tayari.

Wednesday, November 14, 2012
BUI BUI IS BACK KWENYE GAME
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, muimbaji aliyewahi kutamba
nchini, Buibui amerejea tena akiwa chini ya uongozi mpya wa Tanzania
Music Power, TMP.
Latest info ni kwamba TMP ambayo ni jumuia mpya ya mapinduzi iliyoingia rasmi katika kuokoa kizazi cha muziki wa Bongo Fleva Tanzania imeingia makubaliano na msanii huyo ambaye jina lake ni Frank Lewis Katende Kivunike.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari TMP imesema imeingia makubaliano na Buibui baada ya kukiona kipaji chake na juhudi zake katika kufanya kazi ya muziki wa kizazi kipya.Kwa hiyo wale mashabiki wake wakae mkao wa kumpokea upya katika tasnia hii ya Bongo Flevaa!!!!!!!!!!!!!!!!

NATAKA KUIMBA NA WALTER- BEN POL
Matunda ya Bongo star search yameshaanza kuonekana immediately baada ya kumalizika kwa shindano hilo, ambapo Ben Pol ambaye anatamba na ngoma kadhaa kali kama Nikikupata,Samboira,Pete, na ngoma zingine kali alizopewa collabo sasa amevutiwa sana na Walter Chilambo mshindi wa EBSS.
Latest info kutoka kwa msani huyu ni kwamba baada ya mshiriki wa Epiq bongo Star search ku perfom vizuri ngoma yake ambayo inafahamika kwa jina la Nikikupata ndipo Ben pol aliamua kwenda kumpa saluti halafu baadaye akasema kwamba atafanya naye collabo katika ngoma zake zinazokuja.

Monday, November 12, 2012
JUMA NATURE KUFANYA COLLABO NA JAMBO SQUAD
Round hii wamekuja na ngoma mpya waliomshirikisha kali toka Wanaume Halisi, Juma Kassim Nature. Ngoma hiyo inakwenda kwa jina la “Bondi” huku versre ya kwanza akiwa amesimaa Ordinally, ya pili ni Chalii mtoto wa Bibi na kwenye hook ni mtu mzima Juma Nature.
Ngoma hiyo imetengenezwa na producer John B alias John Blass toka studio za Grandmaster Records pande za A-Town City soon inatarajia kutoka.
SHETTA SOON KUACHIA NGOMA YA KUFUNGA MWAKA TAREHE 25
Msanii kutoka pande za Ilala anayetamba na hits kama “Mdananda” na “Nidanganye” along side Diamond Platnumz, Nurdin Bilal Ally alias Shetta sasa yupo mbioni kuja na ujio wake mpya baada ya kutamba na ngoma zake hizo sasa
Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba aliweza kufunguka leo na kusamba kwamba anatarajia kuachia ngoma yake yaambayo amemshirikisha mwana dada kutoka THT almaarufu kwa jina la Linah.baada ya kusema hayo pia alimalizia kwa kusema kwamba ataizindua siku ya tarehe 25 katika club ya Maisha.

SHILOLE SOON KWENDA DUBAI KUPIGA SHOW
Tulimjua kupitia Bongo movies but then na yeye akaamua kuwa mwanamuziki, which helped her step into fame and recognition zaidi ya mwanzo.
Shilole baada ya kutamba na ngoma zake kadhaa kama Lawama, Dudu, dume dada hapa tzee sasa I currently spoke to her na akaniamba soon enough anatarajia kwenda Dubai kwa ajili ya kupiga show na siku ambayo anatarajia kwenda huko itakuwa ni siku ya tarehe 20 mwezi 12.
OMMY DIMPOZ APATA DEAL LA TOUR NCHINI MAREKANI NA CANADA
Ommy Dimpoz baada ya kufanya vizuri na ngoma zake mbili “Nai Nai” na “Baadae” kupelekea kupata mafanikio mengi kupitia muziki wake.
Msanii huyu ameanza kuona matunda ya muziki wake baada ya kupata shavu la kufanya Tour chini Marekani na Canada.
Mkurugenzi mtendaji wa wa Kampuni ya DMK GLOBAL PROMOTION & NORTHERN ZONE ENTERTAINMENT yenye matawi yake USA, UK na Tzee, Mr Dickson Mkama alias “DMK” amethibitisha habari zilizokuwa zinavuma hivi karibuni kuhusu kusaini mkataba na msanii Ommy Dimpoz kwa ajili ya Tour za kimziki ndani ya nchini ya Marekani na Canada. I wish him all the best katika tour yake anayotarajia kwenda kupiga show nchini Marekani na Canada. I love baadae.. its definitely on my playlist

A.Y AFANYA UPYA NGOMA ALIYOMSHRIKISHA SEAN KINGSTONE
Latest infoz kutoka AY ni kuwa ameamua kurudia ngoma aliofanya na Sean Kingstone kwa mara ya kwanza baada ya Kingstone kutoikubali ngoma hiyo.
Ngoma hiyo ambayo AY ameairudia inaitwa "Touch me touch" huku mzigo
mzima ukisimamiwa na Super Producer P-Funk Majani ndani ya Bongo
Records.
Thursday, November 8, 2012
KISIMA AWARDS 2012...AND THE WINNERS ARE....!!
Best Boomba Artist
*Kitu Kimoja – Avril
Best Urban Song
*Party Don’t Stop – CampMulla
Best Fusion Artiste
*Coming Home – Nameless
Gospel Artiste of the Year
*Daddy Owen ft. Denno – Mbona
Best Ragga/Reggae
*Guarantee – Wyre
Music Video of the Year
*Nonini - Colour Kwa face
Best Hip Hop Artist
*Colour Kwa Face – Nonini
Collabo of the Year
*Gentleman – P Unit ft Sauti Sol
East African Recognition Award
*Chameleone - Valu Valu (UG)
Best Benga Song
*Kanungo Eteko - Otieno Aloka
Lifetime Achievement Award
*Nameless
Artist of the Year
*Daddy Owen (Kshs. 2 million cash prize)

LADY JAY DEE ON TV?? WOW...
Lady Jay Dee is going back to her old career, a media personality. all of us are excited to see what she has on the table. But we love the Machozi Jay Dee, are we gonna love the TV Jay Dee?
Baada ya kuweza kuliteka soko la muziki wa Tz kwa hits zake kali kama “Machozi”, “Wangu” na zingine nyingi kupelekea hata kumiliki her own Band, Studio kwa jina la Jag Records bila kusahau mgahawa alioufungua mwaka jana kwa jinala “Nyumbani Lounge“, now Commando Jide is coming to conquer on your Television.
Sasa leo kupitia katika ukurasa wake ali post ujumbe na kusema kwamba soon kipindi chake kitakuwa hewani. ambacho kinakwenda kwa jina la The Diary of Lady J Dee.
According to Gadna, her manager, the show is gonna air on EATV kuanzia Sunday tarehe 18 November, I cant wait.. All the best Jide

SINTAH KUMRITHI AMINA CHIFUPA BUNGENI?
Sinta aka J.lo wa Bongo baada ya kufanya vizuri katika tasnia ya filamu nchini, pia katika uandishi (blogging and tv personality) sintah has hundreds of fans all around na sasa
story tulioipata kutoka ni kwamba soon anatarajia kugombea ubunge na chanzo chetu kinasema sababu alizotoa in kwamba; kutokana na baadhi ya wabunge ambao wapo kule bungeni hawatetei haki za wananchi kwahiyo yeye anahitaji nafasi ili akaonyesha ujasiri wake wa kuwatetea wananchi wake, especially vijana!!!.well, maybe anatizamia kufata nyayo za amina chifupa bungeni, mara nyingi amekuwa akisema Amina was her bestfriend and she will always admire her kwa kazi kubwa aliyofanya katika jamii, kuwa mpiganaji haswa. bado tunasubiri her say on this but so far, we wish her all the best.
Subscribe to:
Posts (Atom)