Pages

Monday, November 12, 2012

SHETTA SOON KUACHIA NGOMA YA KUFUNGA MWAKA TAREHE 25

Msanii kutoka pande za Ilala anayetamba na hits kama “Mdananda” na “Nidanganye” along side Diamond Platnumz, Nurdin Bilal Ally alias Shetta sasa yupo mbioni kuja na ujio wake mpya baada ya kutamba na ngoma zake hizo sasa
Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba aliweza kufunguka leo na kusamba kwamba anatarajia kuachia ngoma yake yaambayo amemshirikisha mwana dada kutoka THT almaarufu kwa jina la Linah.baada ya kusema hayo pia alimalizia kwa kusema kwamba ataizindua siku ya tarehe 25 katika club ya Maisha.

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About