Pages

Monday, August 13, 2012

WEKEZENI ZAIDI KWENYE UBORA WA VIDEO -RAQEY


Ukizungumzia bongo fashion events huwezi kuacha kumtaja Raqey, one of the biggest and best photographer there is... But he also makes music videos and to my opinion videos zake are unique and they have a different sense of style.

 When I interviewed raqey about making his videos, here's what he had to say, "I believe in making something of quality and not just a video. And I am happy that bongo flava artists wameamka na kuamua kufanya videos outside Tanzania, because we really lack equipments za kutengeneza good videos. Location pia ni tatizo, sehemu nzuri za kufanyia videos zinakuwa expensive so kwa msanii wa kawaida ni ngumu kuafford. Lakini haohao wasanii wakawaida wasidhani anything comes easily, wasikurupuke na million moja wanasema wanataka video. Msanii anatakiwa ajipange, ili akitoa kitu kitoke cha ukweli. Uchumi ni tatizo letu kubwa, basi tulia na kusanya hela. Halafu jipange ili ukitoa video iwe kidogo na hadhi ya kimataifa"

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About