Pages

Tuesday, August 28, 2012

WASICHANA WAKIBONGO HATUJIAMINI; NDOMAANA HATUPENDANI- Nuru the Light


If I ever decide to move back to Bongo for good, ningeanzisha organization ya kusaidia wasichana between the age of 11 and 18 because during teenage ndo muda wa kujenga self confidence ya mtu. Wasichana wa kibongo tuna hilo tatizo, hatujiamini, tuna uoga wa kufanya vitu ndomana tunachukiana bila sababu. Ukiona mwenzako amefanikiwa katika sekta flani, you get threatened na badala ya kujitahidi ufike pale ulipo, unajaribu kumjengea chuki ili arudi nyuma.

  Hakuna kitu niachochukia kama haters. Sikatai positive criticism, lakini kuna zile ambazo zinatokana na chuki binafsi. Ndomana kwenye blog yangu siruhusu comments za uchochezi na chuki. Siwapi nafasi watu waliokosa kazi, wanaojichukia wenyewe kumaliza stress zao kwa kuandika hateful comments kuhusu watu wengine.

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About