Pages

Friday, August 10, 2012

TUWEKE NGUVU KATIKA KUWASUPPORT UPCOMING PRODUCERS -HERMY B


This is interesting, hivi unajua kwamba kuna baadhi ya kazi mtu hawezi kuendelea kufanya baada umri fulani kupita?? Kazi kama modelling, acting, singing, etc etc etc... Sasa according to Hermy B, ukiifanya kazi inayohitaji ubunifu, after a while unaishiwa creativity, hivyo unatakiwa kutafuta ustarabu mwingine kimaisha.. Lol! But seriosly ifike time wewe km artist ambae uko kwny game miaka zaidi ya 15, fanya kitu advanced zaidi, km kuproduce muziki au kuwa na agency ya kusaidia upcoming artists. Vilevile producers wa muziki ambao mmeshafanya kazi muda mrefu, kwanini msiinvest katika kuwapa uwezo producers wachanga ambao ni wabunifu zaidi, they have the time, they have the spirit, they have the dedication??

Ramadhan kareem... Stay blessed!

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About