No name The Group ni kundi jipya ambalo limehusisha ma producer wakali ambao walifanya vizuri katika sanaa ya muziki hapa Tanzania na bado wanaendelea kufanya vizuri ambao ni Dunga,P Funk,Karabani,Lamar na John Mahundi,sasa basi leo wameachia rasmi ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la Hands Up katika vituo mbalimbali.
Wednesday, December 12, 2012
MISS TANZANIA 2012 BRIGITTE ALFRED AKABIDHIWA RASMI NOAH
Brigitte Alfred,Redds Miss Tanzania 2012 akabidhiwa zawadi ya gari yake rasmi na katibu mkuu wa kamati ya Miss Tanzania Bw.Bosco Majaliwa katika ofisi ya Lino International Agency Limited zilizopo mikocheni jijini Dar es Salaam.
FLAVIAN MATATA ASHINDA TUZO YA FACE OF AFRICA
Mwanamitindo kutoka hapa Tanzania maarufu kama Flavia Matata, siku ya jumamosi iliyopita ameweza kuibuka kuwa mshindi wa tuzo za Face of Africa.Mashindano ya tuzo hizo yalifanyika katika mji wa New York Nchini Marekani.Tuzo hizo utolewa kwa kuwapongeza wa Africa ambao hufanya vizuri katika kazi zao.
CHEGGE SOON KUANZA KUINGIZA MOVIE YA MWANAYUMBA
Latest Info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba aliamua kuweka wazi kwamba kwa sasa japokuwa wameshatoka ngoma yao mpya ya kundi inayokwenda kwa jina la Tutaonekanaje na wameshaitoa katika vituo mbalimbali sasa habari nzuri nyingine kutoka katika kundi ili ni kwamba wamepanga mikakati ya kufanya movie yao mpya inayokwenda kwa jina la Mwanayumba.Kwa hiyo wale mashabiki wa Tmk Wanaume Family dzain kama inawahusu hii.
JANA RAY-C-AMTEMBELEA-RAIS-KIKWETE-KUMSHUKURU-KWA-MSAADA
Mwanamuziki wa Bongo Fleva maarufu kama Ray C siku ya leo amemtembelea Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam na kumshukuru kwa msaada wa matibabu kipindi alipokuwa mgonjwa.
Tuesday, December 11, 2012
BHOKE ATEULIWA KUWA BALOZI WA TAASIAI YA KUPAMBA NA FUNZA ZA MIGUUNI
mwakilishi wa Tanzania katika shindano la Big Brother Africa, 2011,
Bhoke Egina ameteuliwa kuwa balozi mpya wa Tanzania wa taasisi ya Ahadi
Trust Tanzania.


Mshindi wa BBA 2007, Richard, Bhoke Egina na Cecilia Mwangi wa Ahadi Kenya wakimhudumia mtoto aliyeathirika na funza...................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
LAMAR AJA NA UJIO MPYA WA KUNDI LAKE "MASHOSTIZI"
Producer kutoka katika Label ya Fishcrab Audio Station
maarufu kama Lamar, siku zilizopita baada ya kutangaza katika vyombo
mbalimbali vya habari kwamba anatafuta wasichana ambao wenye uwezo wa
kuimba ili aweze kufanya nao kazi katika studio yake,hatimaye amefanikio
kupata wasichana watatu ambao ni Nuru,Salma na Menyinah.Katika
mazungumzo lamar alisema kwamba kwasasa kundi hilo limeshamaliza
kutengeneza ngoma yao mpya ila wapo katika mchakato wa kuandaa video yao
mpya chini ya Director Adamu juma.
Subscribe to:
Posts (Atom)









