Pages

Monday, August 13, 2012

BE CAREFUL WHAT YOU WISH FOR!!!!!!!!!! -ANTONIO NUGAZ


He produces and presents kipindi cha Kambi Popote cha Clouds Tv kinachoruka every wednesday at 9pm. On his birthday 10th Occtober last year alipata nafasi ya kuingia kwenye show ya leo tena ya Clouds Fm kama mgeni, na alipoulizwa 'what's your birthday wish' Alisema 'Natamani serikali initambue kama mtangazaji mwenye uwezo mkubwa, na itambue mchango wangu katika kupromote sekta ya Utalii wa ndani'
     ANTONIO AT MANDELA HOUSE, SOWETO, S.A

   Early April this year, alifanikiwa kuwa awarded na tuzo ya mwanahabari bora wa habari za utalii wa ndani nchini katika hafla ya kutunukiwa vyeti vya umahiri wa habari iliyoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) na kuhudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete hivi Karibuni katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

   10/08/2012 Antonio got an email kutoka Bodi ya Utalii wakimpongeza kwa kupata tuzo hiyo, na kumtaarifu kuwa wanatambua mchango wake katika kutangaza utalii wa Tanzania na kuhamasisha Watanzania kutembelea vivutio vya utalii nchini.  Kwa kutambua mchango wake, wao kama bodi ya utalii nchini wamemtambua rasmi,wamemtunuku cheti na tuzo maalum ambavyo atakabidhiwa rasmi 17 Agosti 2012 pale ofisi za TTB.
   He says tumepewa mdomo ili tujiumbie mema, mimi nilitabiri lakini pia nilijiwekea baraka katika malengo yangu, kwakuwa niliamini ukiweka nia, hakuna linaloshindikana.. so be careful what you wish so, cause you just mght get it!

KEEP UP THE GOOD JOB NUGAZ, YOU DESERVE IT.
 

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About