Pages

Monday, August 13, 2012

LINEX, ''DONT FAKE IT, WAIT TILL YOU GET IT''


Akiwa anakimbiza na video yake ya Aifola kwenye tv stations nyingi Bongo, right now Linex anasema he is thankful kwa mafanikio ambayo ameyapata so far, hakuwahi kuhisi atafika hapo alipo. Lakini pia anaamini siri kubwa ya kuishi kwa amani, hasa unapokuwa star, ni kuwa humble, kujishusha, kuheshimu mashabiki wako na kuukubali ukweli.

   In our interview, Linex said, ''Heshima na kujitambua ni msingi mzuri unaoweza kumfanya mtu aishi poa kwenye umaarufu wake. Cha msingi ni kufanya kazi yako iwe nzuri na watu waikubali kwanza, hayo mengine yote yatafuata baadae. Ndio, kuna umuhimu wa msanii kuishi maisha tofauti na binadamu wa kawaida ili kujijengea image flani, lakini kama mfuko hauruhusu usilazimishe sana. Kama mambo hayajakaa sawa, hakuna haja ya kufake maisha. Bongo bado wasanii hatutengenezi hela kiivyo kiasi cha kutaka kuishi maisha ya ustar uliopitiliza. Subiri utakapojaaliwa kupata, utafanya fujo za aina zote.

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

Blogroll

About