She says, ''In canada, where I live and persue my career as a fashion designer, i try to use most material from home, inorder to bring that essence of 'Uafrika' in my work.''
''Inasikitisha that vitu kama khanga, vitenge, kaniki, mashuka ya kimasai, nk ni vitu ambavyo tumeishi navyo kwa generations nyingi lakini hatukujua umuhimu wake na wala hatukua na muamko wa kuvitumia vitu hivyo kujitangaza kiutamaduni, mpaka miaka ya karibuni ndipo tumekuja kujifunza.''
Our Interview....
Shelina and Rio Paul.
''We have a long way to go, lkn naamini tukiweka malengo sisi kama wabunifu, tutafika tu''-Shelina
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ljjljlj
ReplyDelete