Alimmanage TID enzi hiizooo, kisha akammanage Diamond na baadae Sam wa Ukweli. he recently just terminated his contract with hit artist Rich mavoko kwa sababu ambazo wote wawili wanazielezea kiutofauti but bottom line is Maneno as a manager played a huge role kwenye mafanikio ya hawa wasanii.
Tatizo kubwa ambalo tunao kwenye music industry is that msanii anaona yeye ni mjauji zaidi kuliko manager. and that the success anayopata ni kutokana na nguvu zake, which is very wrong. imagine manager ndo anayempika msanii, anamset katika njia ambayo anahisi ni rahisi kuuza kazi zake, anambrand kama product ili aweze kumnadi kwenye market, anahangaika kumtafutia producers, sponsors, shows, deals, etc.. manager ndo ambaye anafikiria maslahi ya wasanii, anayaweka mbele hata kabla ya kwake mwenyewe. Iweje msanii anapofanikiwa kuitwa star na kuingiza shs mbili mfukoni anamdharau manager wake? mtu aliemtoa from the lowest?? hii mbayaaa
Anyways, maneno anadai kwamba haimsumbui kuhama from one artist to another. infact it makes him proud kwamba Diamond is one of the leading bongo artist tulienaye na anatamani kumuona akifika mbali zaidi.
Here is what he had to say, ''dhana ya kwamba mi najaribu kuwadidimiza wasanii ambao nimevunja nao mkataba si kweli, mimi nafurahia mafanikio yao. tena natamani sana kuwatengeneza TID wengine kama sita hivi, na Diamond wengine kama watano hivi.. ili bongo flava izidi kukua. Lakini mamanager tunadharaulika sana, kwanini tusiunde chama ambacho kitakua na sheria za kutulinda na kutuongoza? hii itatupa msimamo hata kwa wasanii ambao tunawasaidia halafu baadae wanatuona si lolote, si chochote.."
Maneno was inspired to manage artists by Dj Venture whom he admires for his dedication and extra effort in working.. he is currently managing watanashati group...