Monday, July 30, 2012
MSISHANGAE NIKIFANYA COLLABO NA FALLY IPUPA, D'BANJ AU HATA P'SQUARE
Barnaba is expected to tour in different countries in Europe and most especially jijini London, UK kwaajili ya tamasha la kusaidia nchi mbalimbali za Africa zilizokumbwa na janga la malaria. Atatembelea nchi kama Germany, Italy na France.
What people dont know is that Barnaba amepata nafasi hii kutokana na kupigiwa debe na Fally Ipupa. Waliwahi kufanya wote kazi, na Fally alipenda sana nidhamu ya kazi ya Barnaba pamoja na moyo wake wa kujifunza na kujituma, this is why ilikuwa raahisi kwake kumpendekeza Barnaba straight away kushiriki kwenye tour hii.
Anyways, anasema he is very happy kuwa the only artist from bongo ambae atashiriki kwenye Africa Unplugged tour huko Wembley arena, London, na pia mtarajie lots and lots of surprises kutoka kwake because he s gonna be there for 15 whole days na atakaa bweni moja na artists kama D'banj, Fally Ipupa, na wengine wengi so msishangae akifanya collabo na any of those artist.
Big up Barnaba Boy.. we wish you all the best
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment